1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ACT: Wabadhirifu wa fedha Tanzania wachukuliwe hatua

14 Aprili 2022

Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, kimetaka wahusika wa ubadhirifu wa mabilioni ya fedha kama walivyofichuliwa katika ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali wachukuliwe hatua kali za kisheria.

https://p.dw.com/p/49xao