1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ACT kusaka maoni ya Wazanzibari kuhusu uwepo wake serikalini

Jacob Safari16 Novemba 2022

Chama cha ACT Wazalendo huko Zanzibar kimetoa taarifa inayozungumzia hali ya kisiasa visiwani humo na kwamba kitarudi kwa wananchi kutaka maoni yao kuhusiana na miaka miwili ya uwepo wa chama hicho katika serikali ya umoja wa kitaifa. Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa chama hicho Salim Bimani kwanza anajibu ni kwanini kama viongozi warudi kwa wananchi ?

https://p.dw.com/p/4Jap1