1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.07.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S31 Julai 2021

Takribani watu 20 wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti ya ajali za gari katika kipindi cha masaa 12, huko katika jimbo la Laghman, mashariki mwa Afghanistan.

https://p.dw.com/p/3yMbg