1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.07.2015 Taarifa ya Habari 12.00 Asubuhi Afrika Mashariki

V2 / S12S31 Julai 2015

Mazungumzo ya amani kati ya Pakistan na Taliban yaahirishwa kufuatia kifo cha kiongozi wa kundi hilo Mullah Omar. Watu sita wadungwa kisu na mshambuliaji anayepinga ushoga katika maandamano ya kila mwaka ya mashoga mjini Jerusalem. Na waandishi wawili wa habari wa Ujerumani washitakiwa kwa uhaini.

https://p.dw.com/p/1G7m6