KANU yamteua Gideon Moi kuwania urais Kenya 2022+++Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na korti ya Paris +++Biashara ya ndani ya jumuiya ya Afrika Mashariki yadorora +++Maafisa wa China na Marekani wamekutana kutafuta njia za kusawazisha tofauti zao kwenye masuala ya kibiashara, kiteknolojia na kijeshi yaliyosababisha mivutano mikali kati yao.