Marekani inapamga kupunguza wanajeshi nchini Afghanistan ifikapo mwaka wa 2020 // Makabiliano kati ya magenge mawili ya gerezani yamesababisha vifo vya karibu wafngwa 57 nchini Brazil // Na wanafunzi wanne ni miongoni mwa waandamanaji watano waliopigwa risasi na kuuawa jana nchini Sudan