Tanzania- Tundu Lissu ambaye alitakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi amesema hatofanya hivyo kwa sababu chombo hicho hakikufuta utaratibu// CCM, CHADEMA na CUF zaendelea na kampeni za urais// Kila upande unaeleza kuathirika kwa kiasi kikubwa wakati huu ambapo mapigano yakiendelea kati ya Majeshi ya Azerbaijan na Armenia.