1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.07.2017: Matangazo ya Jioni

29 Julai 2017

Watu wenye silaha ambao hawajatambuliwa washambulia makazi binafsi ya Naibu Rais wa Kenya William Rutto, Aliyekuwa waziri mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif amtangaza waziri wa mafuta na maliasili Shahid Khaqan Abbasi kuwa waziri mkuu wa mpito na Umoja wa Ulaya waanzisha mchakato wa kisheria dhidi ya Poland kuhusiana na sheria yake mpya inayohofiwa kudhoofisha uhuru wa mahakama nchini humo.

https://p.dw.com/p/2hMFn