Ujerumani imeziomba pande zote za mgogoro kati ya Ukraine na Urusi kupunguza uhasama // Marekani imekasirishwa na uamuzi wa Hungary kuwarudisha Urusi raia wawili wanaoshukiwa kuwa wafanyabiashara wa silaha // Maelfu ya wafuasi wajitokeza kumkaribisha nyumbani kiongozi wa upinzani nchni Congo Felix Tshisekedi