Wabunge wapya wa Ujerumani wanafanya mikutano yao ya kwanza leo wakati ambapo vyama vyao vinatathmini yaliyojiri katika uchaguzi uliopita/ Uganda ipo katika mjadala mkali unaohusu kubadili sheria za usamamizi wa haki za taifa hilo/ Ufaransa imekana shutuma kwamba inaitelekeza Mali kwa kuondoa wanajeshi wake nchini humo/ Waziri mkuu wa Israel Bennet aishambulia Iran