Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International linatimiza miaka 60 tangu lilipoasisiwa+++Tanzania yasema wazazi wa kiume ndiyo vinara kufanya aina hiyo ya ukatili dhidi ya watoto+++Wataalamu wanajaribu kutafuta jibu la kwa nini virusi vya corona vinaonekana kutokuwepo mjini Kinshasa.