Rais Trump na Kansela Merkel wasisitiza umuhimu wa amani licha ya tofauti zilizopo baina yao // Marekani yawakosoa washirika wa NATO kwa kutopiga hatua katika kutimiza ahadi zao za bajeti za ulinzi // Na aliyekuwa rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf apokea tuzo ya Mo Ibrahim