1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.02.2023Matangazo ya Asubuhi

V2 / S12S28 Februari 2023

Zaidi ya mataifa 30 yametoa ahadi ya misaada ya kibinadamu wa karibu bilioni Euro 1.2 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva unaolenga kusaidia raia wa Yemen baada ya miaka minane ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

https://p.dw.com/p/4O3BF