1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.02.2016 Matangazo ya mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki

SK2 / S02S28 Februari 2016

Hilary Clinton amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa mchujo kwenye jimbo la South Carolina. Burundi imekabali kupelekwa nchini humo wangalizi wa kijenshi na wachunguzi wa haki za binadamu kutoka Umoja wa Afrika. Ndege za kivita ambazo bado hazijatambuliwa zimeishambulia miji sita katika jimbo la Aleppo nchini Syria.

https://p.dw.com/p/1I3hC