1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.02.2016 Matangazo ya jioni saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S28 Februari 2016

Mpango wa kusitisha mapigano nchini Syria unaonekana kuheshimiwa kwa kiasi kikubwa licha ya madai ya visa vichache vya ukiukaji. Wapenda mageuzi wamepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Ijumaa nchini Iran. Hillary Clinton amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa mchujo katika jimbo la South Carolina upande wa chama cha Democratic

https://p.dw.com/p/1I3mi