1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.01.2017 : Matangazo ya jioni

Isaac Gamba
28 Januari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na: Ujerumani na Ufaransa zakubaliana hatua yoyote itakayolenga kuiondolea vikwazo Urusi izingatie maendeleo kuhusiana na mchakato wa amani wa Ukraine mashariki//Wanajeshi 40 wa Uturuki waomba hifadhi Ujerumani//Abiria kutoka Iraq na Yemen waliokuwa njiani kwenda Marekani wazuiwa Cairo.

https://p.dw.com/p/2WZbH