Vyama Ujerumani kuanza mazungumzo kuunda serikali ya mseto/ Olaf Scholz: Msosho Demokrat myakinifu anaeuchungulia ukansela/ Uhariri: Wajerumani wachagua mabadiliko/ Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumalizika bila viongozi wa Myanmar na Afghanistan/ Serikali ya Kenya na Sudan Kusini zimeanzisha mazungumzo kwenye mpaka baina yao kwa nia ya kupata suluhisho la mgogoro