Tundu Lissu arejea Tanzania/ Vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania chama tawala CCM na chama kikuu cha upinzani Chadema, vimemaliza mchakato wa kura za maoni/ Kenyatta aongeza tena vizuizi dhidi ya corona/ Watawala, usalama wakamatwa kwa rushwa, Burundi/ Ubalozi mdogo wa Marekani wafungwa mjini Chengdu,China