Miaka 75 tangu kambi ya Auschwitz ilipokombolewa/ Walimwengu wameingiwa na hofu kutokana na kusambaa kwa kasi virusi vya homa ya Corona/ Human Rights Watch: Rwanda inataka kuhalalisha mchakato unaoonekana kuwa wa maonevu wa kuwakamata na kuwafungia watoto wa mitaani kwa kisingizio cha kuwabadilisha tabia/ Zaidi ya wapiganaji 120 wa Mai-Mai walioweka silaha chini waliamua kurudi msituni