1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SK2 / S02S26 Desemba 2016

Urusi inafanya maombolezi ya kitaifa leo, baada ya ajali ya ndege yake ya kijeshi kuuwa watu 92.// Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemuita balozi wa Marekani nchini humo Daniel Shapiro, baada ya Marekani kujizuwia kupiga kura kuhusu azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya makaazi ya walowezi wa Kiyahudi.//Kundi la meli za kivita za China liliingia katika eneo la bahari ya kusini mwa China.

https://p.dw.com/p/2Uspp