Hali ya kisiasa nchini Sudan/ Congo: Kuna hatari vya kuvunjika muungano unaomuunga mkono Rais Tshisekedi, Union Sacrée/ Tunaangalia namna Afrika inavyojaribu kujitengenezea chanjo zake yenyewe/ Viongozi wa dunia watakutana Uingereza mwezi Novemba kwenye mkutano wa kilele kuhusu mazingira uliopewa jina la COP26/ Nakala ya tafsiri ya Kurani katika lugha ya Kalenjin imezinduliwa nchini Kenya