Wajerumani leo 26.09.2021 wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali kati ya vyama vikuu viwili, Social Democratic na kile cha muungano wa kihafidhina cha Christian Democratic Union/Christian Social Union-CDU/CSU+++Ujerumani- Vyama saba ndiyo vinapewa nafasi ya kupata viti Bungeni na vyama vitatu ndiyo vimesimamisha wagombea wa Ukansela.