1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.08.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S26 Agosti 2020

Uturuki imesema iko tayari kwa mazungumzo na Ugiriki kuhusu mzozo wa eneo la bahari ya Meditterania. Kiongozi wa upinzani nchini Belarus amesema raia wa nchi hiyo hawatokata tamaa kudai mabadiliko ya uongozi. Boti moja iliyobeba wahamiaji imezama karibu na pwani ya Ugiriki.

https://p.dw.com/p/3hVSM