Tanzania: NEC imewaonya wanasiasa waliogombea na kujitangazia ushindi kutokana na wapinzani wao kuenguliwa ikisema kuwa kitendo hicho ni kinyume cha sheria/ Lissu awawekea pingamizi Magufuli, Lipumba/ Burundi, Rwanda zaanza mazungumzo kurejesha mahusiano/ Mapigano yazuka upya kusini mwa Yemen/ Netanyahu: Israel inaangalia kwa umakini shambulizi la hivi karibuni katika mpaka na Lebanon