Limekuwa jambo la kawaida kwa viongozi wa upinzani barani Afrika kupinga matokeo ya uchaguzi pindi yanapotangazwa iwapo yamekwenda kinyume na kile walichokitarajia/ Chama cha Jubilee nchini Kenya kimeendelea kufanya mabadiliko kwenye uongozi wa kamati za seneti/ Wizara ya fedha ya Marekani imeitolea mwito Benki ya Maendeleo Afrika AfDB, kufanya uchunguzi huru juu ya madai ya ukiukaji wa maadili.