Tanzania leo inaadhimisha miaka 54 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar lakini maadhimisho hayo yamegubikwa na vuguvugu la maandamano yaliyoratibiwa kwa njia ya mtandao/ Barua kutoka Dar/ Kongamano la 4 la watengezaji na wafanyabiashara wa vyakula na usalama jijini Nairobi/ Maonesho makubwa kabisa duniani ya teknolojia ya viwandani: Ushiriki mdogo wa mataifa ya Afrika