Hali nchini Burkina Faso ni ya mashaka/ Ripoti inatazama ikiwa majeshi ya Afrika ni sehemu zaidi ya matatizo kuliko suluhisho?/ Tanzania: Serikali imetangaza kuwa itaanza kuwadhibiti wafanyabiashara wanaotumia mwanya wa soko huria kupandisha bei ya bidhaa/ Congo: Kutokana na uhaba wa vyakula kwenye kambi ya waathirika wa mlipuko wa volkano baadhi ya wanawake kujitumbukiza katika biashara ya Ngono