1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S25 Oktoba 2019

Rais Evo Morales wa Bolivia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita. Marekani inalenga kutuma wanajeshi zaidi kulinda visima vya mafuta nchini Syria. Umoja wa Ulaya utajadili leo kurefushwa kwa muda wa Brexit.

https://p.dw.com/p/3Rtrn