Bolton amesema Trump amefungua mlango wa majadiliano ya kweli kati ya Marekani na Iran/ Mkutano unaosimamiwa na Marekani kuhusu maendeleo ya kiuchumi ya wapalastina umeanza/ Baraza la bunge Ulaya PACE limekubaliana kuwaruhusu wawakilishi wa Urusi kurudi katika bunge hilo/ Maaskofu wa kanisa katoliki nchini Kongo wanaelezea wasiwasi wao/ Nchi za Ulaya kaskazini zinatarajiwa kukumbwa na joto kali