Trump apiga marufuku wasafiri kutoka Brazil/ Shughuli za kibiashara katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Uganda ya Busia na Malaba, zinaendelea kutatizwa baada ya madereva wa malori ya mizigo kufunga barabara/ Raia wa Burundi wanasubiri matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu/ Umoja wa Mataifa wafichua njama za kijeshi nchini Libya/ Afghanistan kuwaachia huru wafungwa wa Taliban