Burundi: Chama Cndd Fdd kimebuka ushindi katika uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 68.72 kura katika uchaguzi wa urais/ Libya: Hali nchini Libya inaendelea kuwa tete licha ya juhudi za kimataifa za kupatanisha makundi yanayohasimiana/ Hong Kong: Wakuu wa polisi na idara za usalama wamesema visa vya ugaidi vinaongezeka/ Myanmar yawasilsha ripoti yake ya Rohingya katika mahakama ya ICJ