1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.04.2015: Taarifa ya Habari , 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

V2 / S12S25 Aprili 2015

Waarmenia duniani kote wamefanya kumbukumbu ya miaka 100 tangu kuanza kwa mauaji yaliyofanywa na utawala wa himaya ya Ottoman wa Uturuki ya Karibu watu milioni 1.5. Katika mjadala bungeni jana (24.04.2015)mjini Berlin, spika wa bunge la Ujerumani Bundestag Norbert Lammert ameyaeleza mauaji hayo kuwa ni mauaji ya kimbari.

https://p.dw.com/p/1FEhI