Mahakama Uganda yaamuru Bobi Wine aachiliwe mara moja/ Waziri Mkuu wa Congo kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye/ Nchini Tanzania kilio kinaongezeka cha mfumuko wa bei za vyakula na bidhaa za vyakula hatua inayoathiri mfumo wa maisha ya kila siku/ Mashirika: Waondoeni waasi wa Houthi kwenye orodha ya magaidi/ Umoja wa Ulaya unazingatia kuanzisha upya vikwazo dhidi ya Urusi