1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Septemba 2016

Viongozi wa mataifa ya Balkan wakutana Vienna kujadili mgogoro wa wahamiaji/Majeshi ya serikali ya Syria yadhibiti eneo linalodhibitiwa na waasi mjini Aleppo/Wafuasi wa serikali ya Burundi waandamana Bujumbura kupinga ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kitisho cha kuzuka mauaji ya halaiki

https://p.dw.com/p/2QYlP