Tanzania: Mwenyekiti wa wakfu ya Mwalimu Nyerere ameonya mamlaka za dola pamoja na zile zinazohusika na uchaguzi mkuu, kutojitumbukiza katika matendo yatakayowanyima haki wananchi kuchagua viongozi wanaowapenda/ Hali ya kisiasa nchini Belarus/ Pompeo: Marekani itaendelea kuipa kipaumbele Israel/ Sudan Kusini yakabiliwa na mafuriko makubwa/ Mkutano wa chama cha Republican kufunguliwa Charlotte