Mwanaharakati wa upinzani Belarus akamatwa baada ya ndege aliyokuwamo kutua kwa ghafla mjini Minsk // Umoja wa Mataifa wahimiza mchakato wa kisiasa baada ya mashambulizi ya Gaza // Na Marekani yatangaza vikwazo dhidi ya Ethiopia na Eritrea kuhusu mzozo wa Tigray