1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.03.2018- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

24 Machi 2018

Urusi imesema watu 105,000 wameondoka eneo linaloshikiliwa na waasi la Ghouta Mashariki,// Maelfu kuandamana Marekani kushinikiza mabadiliko ya kumiliki silaha,// Misri imesema mlipuko katika mji wa Alexandria, umesababisha kifo cha polisi mmoja

https://p.dw.com/p/2uutd