1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.09.2023 Matangazo ya Mchana

23 Septemba 2023

Serikali ya Marekani imeahidi kutoa dola milioni 100 kwa shabaha ya kuunga mkono juhudi ya kuundwa kikosi cha kimataifa kitakachongozwa na Kenya katika kurejesha usalama nchini Haiti, taifa la visiwa vya Karibiani lililokumbwa na mizozo.

https://p.dw.com/p/4Wj73