Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekaribisha agizo la Rais John Magufuli la kuvitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu zaidi wakati wa uchaguzi mkuu// Kufutwa kazi kwa maafisa wanane wa ngazi za juu wa tume ya uchaguzi Uganda kumeibua mjadala mkali miongoni mwa wanasiasa nchini humo// Corona: Vipimo ni lazima ili kuingia Ujerumani// Uturuki yamtaka Haftar aondoke mji wa Sirte.