1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.06.2024 Matangazo Ya Mchana

SK2 / S02S23 Juni 2024

Maelfu ya wapiganaji kutoka makundi yanayoungwa mkono na Iran Mashariki ya Kati wako tayari kwenda Lebanon kuungana na wanamgambo wa Kundi la Hezbollah katika vita vyake na Israel ikiwa ni mzozo unaoendelea kutanuka na kuwa vita kamili.

https://p.dw.com/p/4hP8R