Ukraine yatumia kongamano la biashara la Davos, Uswisi kuomba silaha zaidi/ Tshisekedi akamilisha ziara yake nchini Burundi/ SIPRI imetahadharisha juu ya mazingira magumu ya usalama duniani kutokana na migogoro kadhaa/ Hali ya kisiasa nchini Tanzania/ Ghebreyesus: WHO lazima iwe muhimili kushughulikia afya duniani