1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.04.2022 Matangazo ya Mchana

23 Aprili 2022

Jeshi lenye kushika hatamu ya uongozi nchini Gunea limesema rais aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi, Alpha Conde, ameachiwa huru na kuanzia sasa anaweza kuwapokea wageni wanaomuhusu.

https://p.dw.com/p/4AKlC