1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.02.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

23 Februari 2022

Watu 18 wameuwawa baada ya gari walikuwemo kushambiliwa na kundi la wenye itikadi kali huko magharibi mwa Niger. Ikithibitisha mkasa huo serikali imesema shambulizi hilo ni sehemu ya matukio ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/47Rle