Congo: Viongozi wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika waliashiria kuwa watafanya kazi na rais mteule licha ya kuwa hawakumpongeza moja kwa moja kwa ushindi wake/ Bolsonaro atumia kongamano la Davos kuvutia wawekezaji Brazil/ Waziri wa Ndani Italia awataka Wafaransa wamuondowe Macron/ Maandamano makubwa yaitishwa Venezuela