1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.01.2016 Matangazo ya Mchana, saa 7:00 Mchana (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S23 Januari 2016

Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanakutana na viongozi wa Umoja wa Afrika kuhusu mzozo wa Burundi. Tunisia imetangaza amri ya kutotoka nje usiku, kufuatia maandamano ya ghasia kupinga ukosefu wa ajira. Eneo la Mashariki la Marekani limefunikwa na theluji nyingi kutokana na majira ya baridi kali.

https://p.dw.com/p/1Hiom