1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.01.2016 Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S23 Januari 2016

Makamu rais wa Marekani Joe Biden amesema ikiwa juhudi za kisiasa katika mzozo wa Syria zitagonga mwamba, Marekani iko tayari kwa suluhisho la kijeshi. Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umefanya mazungumzo na Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa kujadili mzozo wa Burundi. Watu zaidi ya 260 wamekamatwa kuhusiana na ghasia katika maandamano nchini Tunisia.

https://p.dw.com/p/1HiwF