Je, zipo dozi za kutosha kwa kila Mkenya atakayekuwa na hiari ya kupokea chanjo?/ Tanzania: Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali hoja tatu zilizotolewa na upande wa utetezi katika kesi inayowakabili Mbowe na wenzake/ Uganda: Mgomo wa wafanyakazi wa afya Uganda/ Marekani yawekwa orodha ya demokrasia zinazorudi nyuma