Matumaini ya kumaliza umwagikaji damu uliodumu kwa muda sasa katika mzozo wa jimbo la Nagorno-Karabakh yanaendelea kudidimia// Mwanasiasa mkongwe wa Lebanon Saad al-Hariri ameteuliwa tena kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo na kupewa jukumu la kuunda serikali mpya// Rais Donald Trump na hasimu wake kutoka chama cha Democratic Joe Biden watapambana tena leo katika mdahalo.