1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.08.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

22 Agosti 2021

Umoja wa Ulaya umeonya huenda itakuwa vigumu kuwaondoa watu wote kwa wakati nchini Afghanistan. Rais wa Uturuki amesema taifa hilo halitaweza kustahamili wimbi la wakimbizi wa Afghanistan. Watu 19 wameuwawa kwenye shambulizi magharibi mwa Niger.

https://p.dw.com/p/3zL37