1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.04.2018- Taarifa ya Habari za Asubuhi

22 Aprili 2018

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas, amepongeza tangazo la Korea Kaskazini la kusitisha majaribio ya nyuklia. // Shirika linalodhibiti matumizi ya silaha za sumu (OPCW), limemekusanya sampuli kutoka eneo lililodaiwa kufanyika shambulizi la sumu nchini Syria.// Serikali ya India yaiidhinisha hukumu ya kifo, kwa wabakaji wa watoto wenye umri wa chini ya miaka 12.

https://p.dw.com/p/2wSag